Header Ads

Rayvanny azungumzia denda la Snura kwenye video ya ‘Natafuta Kiki’.


Raymond wa WCB amepata sifa nyingi hivi karibuni kwa uigizaji mzuri kwenye video yake ya Natafuta Kiki baada ya kufanya na mastaa wakali kama Feza Kessy, Shilole na Snura.
Pia kwenye video hii palikuwa na Scene iliyozungumziwa zaidi ya busu lake na Snura. Wcb super staa Rayvanny ameongelea mahaba niuwe ya Snura kwenye video yake ya “Natafuta Kiki”nakusema “Ni kweli ile scene ya kitandani ilinipa wakati mgumu sana, hasa ukizingatia ile shepu ya Snura, kuna wakati nilisahau kama tuko location”.

No comments: