Header Ads

Picha za Harmonize na Jackline Wolper kwenye mapumziko weekend hii,Love is in the Air.


Harmonize na mpenzi wake Jackline Wolper wamechukua siku chache nje ya majukumu yao kupumzika weekend hii.
Harmonize na Wolper walionekana kwa mara ya kwanza Uwanja wa Ndege na baadae walitua kwenye hoteli flani ya kifahari na kuwapa mashabiki wao nafasi ya kuona sehemu ndogo ya mapumziko yao,
Baadae Wolper aliandika ujumbe wa shkrani kwa Harmonize kwa kumpeleka Vacation.
1 2 3 5 6 7 8 9 10 11

No comments: