Header Ads

Picha,Linah ameanza kufanya video ya wimbo mpya,Idris anategemewa kuonekana.


Bongo fleva Diva Linah Sanga ameanza kutayarisha video mpya ya wimbo wake ‘Raha Jipe Mwenyewe’ akiwa na Director Khalfani.
Kutokana na picha na video clip za behind the scene, Linah yupo na Idris kwenye eneo wanalofanyia video hii pamoja na Director Khalfani .
screenshot_20160911-163902 screenshot_20160911-163916 screenshot_20160911-163924 screenshot_20160911-163930 screenshot_20160911-163935 screenshot_20160911-164059 screenshot_20160911-164128


No comments: