Ali Kiba atafanya show kwenye usiku wa Tuzo za Mtv Africa Music Awards 2016 ‘MAMA’S’..


Meneja wa RockStar 4000 Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The King Ali Kiba atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA ‘MTVAfrica Music Awards 2016‘.
Show Hii itafanyika 22, October, 2016.
kiba-mtv

No comments: