Header Ads

Mtanzania aliyeingia 5 bora Miss Afrika 2016 amerudi home


Taasisi ya MILLEN MAGESE ilipewa mamlaka ya kumchagua Mrembo mmoja wa Tanzania kwenda kuliwakilisha taifa kwenye shindano la Mrembo wa Afrika (Miss Africa 2016) ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika.
Julitha Kabette ndio aliiwakilisha Tanzania na kuingia tano bora kwa kushika nafasi ya nne kwenye shindano hilo lililohusisha Warembo kutoka mataifa zaidi ya 15 Afrika, kuona alivyowasili Dar es salaam na alichokiongea tazama hii video hapa chini…


ON AIR: Full Interview ya Julitha Kabette kabla ya kwenda Miss Africa, aelezea jinsi alivyoona giza kwenye stage ya Miss Tanzania 2016 na mengine, tazama hii video hapa chini

No comments: