Picha: Air Jordan 12s za Drake “OVO” kuingia sokoni mwakani


Kwa wapenda Fashion za Sneakers kali na zakijanja najua utakuwa ulisikia kuhusu kuzinduliwa kwa Air Jordan zikiwa chini ya brand ya Drake “Ovo”, Newz ni kwamba raba hizo zitakuwa madukani mwakani.
Mzigo huo ambao umeshirkiana na brand ya Drake ya “Ovo” utakuwa na rangi mbili ambazo zitakuwa ni nyeupe pamoja na nyeusi na zinategemewa kutolewa mwakani kwa wauzaji wote na wasambazi wa sneakers.
Picha: Air Jordan 12s za Drake “OVO” kuingia sokoni mwakani Picha: Air Jordan 12s za Drake “OVO” kuingia sokoni mwakani Reviewed by mkundi tv on 12:45:00 AM Rating: 5

Follow by Email