Rangi za nywele zinazo bamba

Wadada wengi wanapenda kupendeza na wengi wanapenda kuwa na mionekano tofauti hii ni pamoja na kubadilisha nywele zao na kuwa na rangi tofauti.
Hivyo sasa nataka kukujuza wewe mpenzi msomaji wa Bongo 5 , Mitindo kila Jumapili kuwa kwa sasa kupaka rangi nywele zakao yanii nywele bandia ama wig kama inavyoitwa na watu wengine ni jambo linalokwenda na wakati.
Ila kama una wig yako nzuri na inayopendeza basi unaweza kuibadilisha rangi kwa kununua rangi original za nywele na kuipaka kwa mujibu wa maelezo.
Mrembo unayesoma hapa unaweza kujaribisha mtindo huu mpya ambao umeonyesha kpendwa na mastaa wengi sana hasa nywele ndefu.

No comments: