Header Ads

Rapa Nelly anaelekea kufilisika, anadaiwa dola milioni 2 za kodi.


Rapa Nelly wa kundi la St. Louis anadaiwa zaidi ya dola za Kimarekani milioni $2 za kodi tofauti.
kwa mujibu wa TMZ Nelly anadaiwa na IRS dola milioni $2,412,283, na asipolipa hivi karibuni watachukua mali zake zenye kutimia dhamani ya pesa hizo.
Nelly pia anadaiwa dola $149,511 kutokana na kukwepa kodi mwaka 2013 mjini Missouri. Watu wa Nelly wamesema anashughulikia mambo hayo kwa haraka sana.
Nelly ajatoa album toka mwaka 2013 alivyofanya M.O ila amekuwa na kazi za vipindi vya tv kama BET  “Real Husbands of Hollywood” na show yake ya “Nellyville“.

No comments: