Beyoncé jana usiku aweka history kuwa msanii wa pekee kwenye Tuzo za VMAs.[Video Music Awards]

Jana jumapili usiku, Beyoncé alikuwa msanii pekee aliyepata tuzo ndani ya miaka 31 ya historia ya MTV Video Music Awards, amepata tuzo ya  "Best Female Video," 



Beyoncé pia alipata  Grammy nominated artist  na most BET awarded artist. Beyoncé pamoja na Eminem and Rihanna ni wasanii pekee walioshinda maranyngi tuzo ya Video of the Year awards. 

No comments: