PICHA: Huyu ndiye Jokate ‘Original’

Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ameachia picha mbili mtandaoni  na kudai huyu ndiye Jokate original.Katika mtandao wa instagram alipoweka picha hizo, moja ameandika “The Original. The OG. #Kidoti, kisha nyingine, “African Barbie. African Queen”. Tazama picha hapa chini.


PICHA: Huyu ndiye Jokate ‘Original’ PICHA: Huyu ndiye Jokate ‘Original’ Reviewed by AFRICA FASHION BLOG on 7:51:00 AM Rating: 5

Follow by Email